Je,Social media marketing ni nini? Na,ina umuhimu gani kwako wewe kama mfanyabiashara wa dunia ya leo?
Leo utaenda kujifunza
- Nini maana ya Social Media Marketing?
- Vitu 5 vinavyounda Social Media Marketing
- Ufanye nini ili ufanikiwe katika Social Media Marketing?
Twende pamoja sasa,
Social Media Marketing kwa lugha nyepesi kabisa ni kitendo cha kufanya Marketing na kuitangaza biashara yako kwa kutumia mitandao ya kijamii yaani Social media
Mfano Whatsapp,Instagram,Facebook,Twitter,TikTok nk,
Hivyo basi, kama una accounts ya biashara yako katika mitandao na unaposti,Automatically tunasema wewe unafanya social media marketing
Lakini kufanya kitu ….na kufanikiwa ni vitu viwili tofauti (Ukweli Mchungu)
Wafanyabiashara wengi wanafanya social media marketing kikawaida sana, (very local),wanafanya makosa mengi na kujikuta hawapati wateja kama vile wanavyotegemea au wanavyotamani iwe
Ndio maana tupo hapa kukufundisha hatua sahihi na vitu sahihi vya kufanya katika social media marketing (Endelea kujifunza)
Vitu 5 vinavyounda Social Media Marketing
Kama unataka kufanikiwa katika kufanya social media marketing ya biashara yako,basi zingatia vitu hivi 5 na hakikisha kila kimojawapo unakipa uzito unaostahili,
Watu wengi wanajisahau, either kwa kutokufahamu au kukosa muongozo sahihi, wanajikuta wanazingatia sana namba 4..
Leo mimi nakupa siri hii,
Zingatia namba zote kuanzia 1 hadi 5, itakusaidia sana katika biashara yako
Ufanye nini ili ufanikiwe katika Social Media Marketing?
Sikufichi, nitakuambia ukweli …
Utahitaji kuchukua hatua nyingi ili uweze kufanikiwa, Marketing process yoyote sio mchezo…na kama unakata tamaa mapema, au unaharakisha matokeo..utahangaika sana,Mwisho unaona ni kazi ngumu na unaacha
Lakini kama uko tayari kufanya jambo hili kwa usahihi…ili uweze kupata matokeo mazuri katika biashara yako (Kuongeza Mauzo,Account kukua na Biashara kujulikana zaidi)
Basi anza na hatua ya kwanza kabisa,
Hakikisha account yako imekaa vizuri (optimized) kuvutia wateja
(Na uzuri mada ya account tumeshaiongelea katika group letu la mafunzo ya bure…)
Kisha endelea na hatua 2-5, kila siku na kila wakati unapoendesha biashara yako mtandaoni
Ukizingatia vitu sahihi vya kufanya, ndani ya miezi 3 mpaka 6, tayari utaanza kuona matokeo mazuri,na utakuwa katika njia sahihi ya kuendesha na kukuza biashara yako
Tupo hapa kukurahisishia suala lako la kujifunza na kupata Maarifa sahihi kuhusu Social Media Marketing (Siri zote na mbinu zote utajifunza hapa)
Endelea kufuatilia mada zijazo,tutagusia zaidi vitu hvyo 4 vilivyobaki hapo juu.
Na kama unahitaji Msaada Binafsi,ili uanze kufanya matangazo yako vizuri,Tutakuhudumia pia.
Bonyeza hapa Kuwasiliana nasi Whatsapp moja kwa moja.
Usisahau kushea Article hii na mwenzio ajifunze pia.