Huduma zetu
Huduma Tunazotoa kwa Wafanyabiashara
Kutengeneza Matangazo
Tutakutengenezea matangazo ya biashara yako yenye ushawishi, kwa mfumo wa picha na video.
Kutengeneza Content
Tutakutengenezea contents mbalimbali ambazo utazitumia katika kufanya marketing ya biashara yako
Kuseti Accounts
Tutakusaidia kuseti na kuzibrand accounts zako za biashara ili zivutie na uweze kufanya matangazo kwa uhakika zaidi.
Mafunzo ya Digital Marketing
Tutakufundisha mIsingi pamoja na mbinu mbalimbali za kunasa wateja kwenye biashara yako kwa kutumia Digital Marketing.
Kusimamia Social Media Accounts
Kwa watu walio busy, Tutasimamia account zako za Social Media na kuposti maudhui sahihi kuhakikisha zinakua na kuvutia wateja kila siku.
Marekebisho ya Accounts
Tunatatua changamoto mbali mbali ambazo watu hukutana nazo katika kutangaza kama vile Disabled,No permission,Madeni nk.
Hivi ndivyo tutakavyokusaidia
katika kufanya matangazo ya biashara yako
Ili upate matokeo mazuri, Tutakuhudumia kwa kufuata hatua zifuatazo
1. Mawasiliano
Tunatumia Whatsapp na baadae unaweka booking ya phone call.
2. Biashara yako
Tuambie unauza bidhaa au unatoa huduma?
3. Business Goals
Una malengo gani unayotamani kuyatimiza ktk biashara yako?
4. Current Situation
Je, umeshafanya nini na nini so far katika kuitangaza biashara yako mtandaoni? Changamoto zipi umekutana nazo?
5. Future Plans
Je, unatamani kufanikisha nini na nini katika biashara yako tukikuhudumia?
6. Let's work
Tukishapata picha halisi ya unachohitaji, tutaweza kufanya kazi sasa na kukuhudumia kwa ufanisi.
Je,unahitaji Huduma ipi?
Wasiliana nasi moja kwa moja Whatsapp
Tutumie ujumbe kuhusu Biashara yako na Huduma unayohitaji,tutakupatia maelezo zaidi.