About Matangazo Academy Platform
Hii ni platform iliyoundwa kwa ajili ya kushea maarifa,ujuzi na mbinu zinazotumika kufanya matangazo ya biashara mtandaoni. Sisi tunaamini kwamba biashara yoyote ile inayokua na kufanya vizuri sokoni inafanya mauzo ya kutosha.
Biashara mpya zinafunguliwa kila siku,Wafanyabiashara wanatafuta wateja,kila mtu anataka kuuza. Ndio maana tumeanzisha jukwaa hili kwa ajili ya kushea maarifa,mbinu za uhakika na siri za kufanya matangazo yanayovutia wateja na kuuza moja kwa moja.
Tunaamni ukijifunza mbinu za uhakika za kufanya matangazo,utakuwa na uwezo mkubwa wa kujitofautisha sokoni,utafanya matangazo ya uhakika sio kubahatisha tena, na utaweza kuongeza mauzo yako kwa kupata wateja zaidi.