Jinsi ya kufanya Matangazo ya Sponsored (Hatua 5 Rahisi)

Je, wewe ni mfanyabiashara ambaye unataka kuitangaza biashara yako online? Unatamani kutafuta wateja zaidi online? Leo utaenda kujifunza namna sahihi ya kufanya matangazo ya biashara katika mtandao wa Facebook na Instagram (sponsored ads) Katika hatua 5 rahisi kufuatisha, utaenda kufahamu…