Je,Gharama za kufanya Matangazo ya Sponsored zikoje?

Swali ambalo huwa naulizwa sana na watu ambao wanataka kuanza kufanya Matangazo ya Sponsored ni hili “Gharama zake zipoje?” Na hapa wengi huwa wanatamani Kufahamu watumie bajeti ya kiasi gani, ili waweze kupata matokeo mazuri. Leo nitaenda kujibu swali hili…