Introduction to Social Media Marketing 2022 (In swahili)
Je,Social media marketing ni nini? Na,ina umuhimu gani kwako wewe kama mfanyabiashara wa dunia ya leo? Leo utaenda kujifunza Nini maana ya Social Media Marketing? Vitu 5 vinavyounda Social Media Marketing Ufanye nini ili ufanikiwe katika Social Media Marketing? Twende…